SERIKALI imetumia ajali ya kivuko Mv Nyerere kama kisingizio cha Rais John Magufuli kutohudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa uliofanyika Marekani siku chache zilizopita, lakini rais mwenyewe amejisahau na kutibua mambo. Rais alimtuma Balozi Augustine Mahiga amwakilishe katika mkutano huo ukiohudhuriwa na wakuu wa nchi duniani....
Politics
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetoa taarifa fupi kwa umma inayoonyesha kuwa kinatilia shaka uadilifu wa wakubwa katika mchakato wa kuchapisha noti mpya unaoendelea, ambao SAUTI KUBWA imewahi kuandika habari zake...
Ndugu zangu, mwaka mmoja uliopita, tarehe 2 Oktoba 2017, nikiwa Mwanza, nilinusa kifo. Hukumu juu yangu iliyokuwa imetolewa katika jumba kuu, siku tatu kabla, kwa shabaha ya kuninyamazisha kabisa,...
KIKUNDI cha maofisa wa vyombo vya dola kinachomzunguka Rais John Magufuli kimemshauri vibaya, naye ameridhia, na sasa kipo katika harakati za “kumwangamiza” Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, ili...
Naomba na hili la maafa nilizungumzie kidogo kabla halijazikwa na maajabu mengine ya nchi yetu. Nadhani Mheshimiwa Rais wetu ana tatizo kubwa na misiba ya kitaifa ambalo wanaofahamu zaidi...
IFUATAYO ni kauli ya Tundu Lissu, mbunge wa Singida Mashariki, leo tarehe 7 Septemba 2018, mwaka mmoja baada ya kupigwa risasi na “watu wasiojulikana” wa serikali inayoongozwa na Rais...
KATIKA mazungumzo na baadhi ya Watanzania waishio Marekani, ambayo yalirushwa moja kwa moja na TBC, jana tarehe 1 Septemba 2018, Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Sheria na Katiba, alijibu...
BAADA ya uchumi wa nchi kuyumba na maisha ya wananchi kuwa magumu, Rais John Magufuli anahaha kufyatua noti mpya ili kuongeza mzunguko wa fedha. SAUTI KUBWA inatambua kwamba tayari...
PAUL Makonda, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, amemvua nguo Rais John Magufuli katika vita ya ufisadi. Siri zake zimeanza kuvuja na imeanza kudhihirika kuwa hasira zote na...
Politics
UN should heed Kofi Anna’s word. It is time for action to rescue East Africa from the perils of strongman politics
THE state of affairs in East Africa’s politics is very worrying even in places that used to be regarded peaceful. Peace, security and stability have been shaken to the...