Naomba na hili la maafa nilizungumzie kidogo kabla halijazikwa na maajabu mengine ya nchi yetu. Nadhani Mheshimiwa Rais wetu ana tatizo kubwa na misiba ya kitaifa ambalo wanaofahamu zaidi...
Politics
IFUATAYO ni kauli ya Tundu Lissu, mbunge wa Singida Mashariki, leo tarehe 7 Septemba 2018, mwaka mmoja baada ya kupigwa risasi na “watu wasiojulikana” wa serikali inayoongozwa na Rais...
KATIKA mazungumzo na baadhi ya Watanzania waishio Marekani, ambayo yalirushwa moja kwa moja na TBC, jana tarehe 1 Septemba 2018, Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Sheria na Katiba, alijibu...
BAADA ya uchumi wa nchi kuyumba na maisha ya wananchi kuwa magumu, Rais John Magufuli anahaha kufyatua noti mpya ili kuongeza mzunguko wa fedha. SAUTI KUBWA inatambua kwamba tayari...
PAUL Makonda, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, amemvua nguo Rais John Magufuli katika vita ya ufisadi. Siri zake zimeanza kuvuja na imeanza kudhihirika kuwa hasira zote na...
Politics
UN should heed Kofi Anna’s word. It is time for action to rescue East Africa from the perils of strongman politics
THE state of affairs in East Africa’s politics is very worrying even in places that used to be regarded peaceful. Peace, security and stability have been shaken to the...
MAZUNGUMZO kati ya Rais John Magufuli na viongozi wa dini ya Kikristo, ambayo makanisa na Ikulu wamekuwa wanayafanya kuwa siri, yamevuja na kuibua masuala yapatayo sita. Rais Magufuli alikutana...
KOFI Annan, aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amefariki dunia leo Jumamosi tarehe 18 Agosti 2018 akiwa na umri wa miaka 80. Kwa habari zaidi bonyeza hapa.
Politics
Magufuli azidi kudhulumu Kanisa. Serikali yamvua uraia katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki
UTAWALA wa Rais John Magufuli umeendelea kujizolea kashfa ya kutumia “silaha ya uraia” katika kukomoa raia, kuzima sauti za wananchi na kulipiza visasi. Zamu hii serikali imemnyang’anya uraia Padri...
NIMEANDIKA ujumbe huu leo katika majadiliano na rafiki yangu mmoja ambaye alijiondoa kwenye kundi la Maswali Magumu, akanieleza kuwa amekata tamaa kwa sababu watu wawili aliokuwa anawaamini katika siasa...