RAIS John Magufuli amekamatika. Sababu za yeye kutopenda kukosolewa, na bidii yake kudhibiti vyombo vya habari, wanaharakati, na wapinzani hata kwa kumwaga damu, zimeanza kujulikana. Anaogopa wapinzani na vyombo...
Author: Ansbert Ngurumo
KISWAHILI kinazidi kukua, kuenea, na kutambulika duniani. Mbali na vyuo vikuu zaidi ya 100 vyenye programu za Kiswahili, na makumi ya vituo vya redio vyenye matangazo kwa lugha ya...
Na Mwandishi Wetu DAYOSISI ya Mashariki na Pwani (DMP) imetoa waraka maalumu wa kumtetea na kumlinda askofu wake, Dk. Alex Malasusa, ambaye ametengwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
DUNIANI kote, siku ya wafanyakazi ni siku yao. Ni ya wafanyakazi. Siku hiyo ni siku ya kukumbushana majukumu yao na wajibu wao katika kutetea maslahi yao. Ni siku ya...
IBARA ya 143 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ndiyo inazungumzia uwepo wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na majukumu yake. Moja ya...
Na Mwandishi Wetu MWAKA wa kwanza wa utawala wa Rais John Magufuli “uliotesha” ufisadi mkubwa serikalini kuliko awamu iliyomtangulia ya Rais Jakaya Kikwete. Ukweli huu unapatikana katika uchambuzi mfupi...
KATIKA miaka takribani mitatu mfululizo, Rais John Magufuli amedhihirika kuwa kiongozi mwenye ndimi mbili kama nyoka. Alianza na sura ya uadilifu, ukali, na umakini. Kuna watu walimwamini. Sasa uadilifu...
Hii ni orodha ya kwanza ya wananchi 68 waliopotezwa na vyombo vya dola katika eneo la Kibiti, Mkuranga, Tanzania. Imewasilishwa na Zitto Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini, leo bungeni...
ZITTO Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini, amesema zaidi ya Watanzania 380 wa Kibiti wamepotezwa katika mazingira yenye utata, na ametuhumu serikali kwa uhalifu huo. Kwa sababu hiyo, ametaka Bunge...