SEEKING to rule with absolute power, Tanzania’s President John Magufuli is wittingly attempting to reinstitute one-party politics in his country. At worst, he is bent on forcefully instituting one-man...
Author: Ansbert Ngurumo
UTENZI HUU WA KUAGA MWAKA NA KUKARIBISHA MWINGINE UMEANDIKWA NA Dk. Christopher Cyrilo Umetuchosha kwakweli, mwaka wa mauzauza. Bora tuseme kwa heri, bila ya kujiuliza. Mabaya tumenakili, mazuri tumejifunza....
WANASIASA wetu wamekuwa wanatumia vyombo vya habari kujenga umaarufu wao na kubomoa washindani wao. Wanaficha mengi katika vyombo vya habari. Rais Kikwete alionesha umahiri katika kutumia ukaribu wake na...
Esther Bulaya ndiye shujaa wa kikokotoo cha pensheni ya wastaafu. Amesema wafanyakazi na wastaafu. Ametimiza wajibu wake vema kama mwakilishi wa watu.
PRESIDENT John Magufuli’s seemingly equivocal orders to police are clear instructions to kill and get away with it. His supporters claim he was misunderstood, but his body language and...
ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Canada, Alphayo Kidata, hajulikani aliko. Rais John Magufuli alitengua ubalozi wake, akamrejesha nyumbani, na akamvua hadhi ya ubalozi. Kidata alirejea Tanzania tarehe 1 Novemba...
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mstaafu, Bernard Membe, amefungua shauri mahakama kuu dhidi ya Cyprian Musiba akimtaka alipe mabilioni ya fedha kwa kumchafua. Shauri hili...
IN an endeavour to defy autocratic politics of brutality and impunity imposed by President John Magufuli on his people, the opposition in Tanzania has come up with a collective...
MAWIO newspaper, a critical weekly publication banned by the the government of Tanzania for two years in June 2017, has won a court case after the High Court of...