IDADI kubwa ya wanajeshi wa Jeshi la Wananchi na polisi waliokuwa wamepelekwa Zanzibar kudhibiti wapinzani, jana walirejea Tanzania Bara wakiwa katika botizaabiria zitokazo Zanzibar hadi Dar es Salaam. Wakiwa katika makundi, wanausalama hao walipanda boti zote za asubuhi saa 1.30 na zile zinazoondoka machana kutoka Bandari ya Zanzibar. “Jamaa...
Tag: Zanzibar
SEIF Sharif Hamad, Zanzibar’s opposition presidential candidate, has been arrested this afternoon. He was walking, toward the offices of the Zanzibar Electoral Commission (ZEC), which is preparing to announce...
KATIKA siku chache hizi kuelekea uchaguzo, Zanzibar imegeuka eneo lililojaa vifaru, magari ya deraya, bunduki hasa AK 47 na zana zingine za kivita kila kona. Hali ilianza kuchafuka zaidi...
Mipango ya kuvuruga uchaguzi Zanzibar sasa imeingia katika hatua mpya, ilitoanza kuzoeleka Tanzania Bara. Ni utekaji wa wagombea au wasaidizi wao au viongozi wa chama. Baada ya juzi kumteka...
NASSOR Mazrui, a senior leader of Zanzibar’s main opposition party, ACT-Wazalendo, has been raided and kidnapped by security forces this morning. The incident took place as Mazrui was heading...
TANZANIA’s main opposition party, CHADEMA, has officially endorsed Seif Shariff Hamad for the presidency of Zanzibar. Hamad vies on the ACT-Wazalendo ticket, but CHADEMA said it was withdrawing its...