Politics
Tundu Lissu anyamazisha wapika propaganda wa Lumumba wanaotunga maneno kuhusu tukio la kuumizwa kwake
WAPIKA propaganda wa CCM wamekuwa wanahangaika na tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi tarehe 7 Septemba 2017; wakitaka kulnda uhalifu aliofanyiwa kama ambavyo serikali imelinda askari polisi waliomuua Akwilina Akwiline. Wanatafuta watu wa kubambikia hatia hiyo, hasa wapinzani. Lissu mwenyewe amejitokeza kuwajibu. Anasema: Huwa sipendi sana kujibizana na watu...