WATOTO wadogo 21 wenye umri wa kati ya miaka mitatu (3) na 11, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Tanzania kwa kukutwa ndani ya nyumba moja jijini...
Tag: Watoto
SOPHIA Mwakagenda, mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) – wa kwanza kushoto pichani – ametwaa tuzo ya heshima ya mwanamke bora katika muongo mmoja wa kusaidia jamii. Sophia amekabidhiwa tuzo...