ZITTO Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini, amesema zaidi ya Watanzania 380 wa Kibiti wamepotezwa katika mazingira yenye utata, na ametuhumu serikali kwa uhalifu huo. Kwa sababu hiyo, ametaka Bunge...
Tag: Tanzania
The High Court in Mtwara Region today has issued a temporary injunction restraining the use of the Online Content Regulation which was to be in effect on the 5th...
JUKWAA la wahariri Tanzania (TEF) limemtaka Rais John Magufuli kuchukua hatua dhidi ya “watu wasiojulikana” wanaohatarisha uhuru na amani ya waandishi wa habari na raia wengine. Ujumbe wa wahariri...
TANZANIA na Israel, ambazo zimekuwa na uhusiano wa shaka tangu 1973, sasa zinajenga uhusiano mpya kwa kuanzisha ushirikiano wa kidiplomasia kwa vitendo. Kuazia wiki ijayo, Tanzania inatarajiwa kufungua ubalozi...
SOPHIA Mwakagenda, mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) – wa kwanza kushoto pichani – ametwaa tuzo ya heshima ya mwanamke bora katika muongo mmoja wa kusaidia jamii. Sophia amekabidhiwa tuzo...
Na Mwandishi Wetu NGUVU iliyosababisha usaliti wa Askofu Dk. Alex Malasusa wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), ambaye ametengwa na Baraza la Kuu la maaskofu wa Kanisa la...