Politics Religion Dar hadi Chato kupitia Roma: Magufuli ataka Kanisa Katoliki limuundie jimbo lake Author Ansbert NgurumoPosted on 25th February 202125th February 2021 WAHAYA na Wanyambo wana usemi kwamba “mtoto atukanaye wazee hatukani mtu mmoja.” Usemi huu, ambao pia hutumiwa naWasubi na Wazinza (waishio katika maeneo ya Wilaya za Biharamulo na Chato)...