Economy Politics Magufuli ahaha kufyatua noti mpya. Azua hofu ya “uchumi wa Mugabe” Author Ansbert NgurumoPosted on 1st September 201816th February 2019 BAADA ya uchumi wa nchi kuyumba na maisha ya wananchi kuwa magumu, Rais John Magufuli anahaha kufyatua noti mpya ili kuongeza mzunguko wa fedha. SAUTI KUBWA inatambua kwamba tayari...