WAKATI wowote kuanzia sasa, Zanzibar itaanza kupokea chanjo dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona, baada ya serikali kuridhia matumizi yake. Vyanzo vya habari kutoka ndani ya Ikulu ya Zanzibar na baadhi ya maofisa wa juu wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto zinaeleza kuwa...