NJAMA za “utatu wa kishetani” kuiba kura na kuvuruga uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2020, zimeendelea kudhihirisha namna zilivyominya haki za Watanzania kuchagua madiwani, wabunge na rais wanayemtaka. Ushirika wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), maarufu – utatu wa...