Politics Waziri, mkuu wa majeshi wavutana kuhusu ukuta Mererani kulindwa na Wanyarwanda Author Ansbert NgurumoPosted on 20th May 201820th May 2018 Na Mwandishi Wetu BADO wakubwa wamegawanyika na wametikisika kuhusu sakata la ukuta wa Mererani, unaozunguka machimbo ya madini ya Tanzanite mkoani Manyara, kulindwa na wanajeshi kutoka Rwanda, SAUTI...