Ndugu zangu, mwaka mmoja uliopita, tarehe 2 Oktoba 2017, nikiwa Mwanza, nilinusa kifo. Hukumu juu yangu iliyokuwa imetolewa katika jumba kuu, siku tatu kabla, kwa shabaha ya kuninyamazisha kabisa, ilikuwa imebakiza muda mfupi kutekelezwa. Movements zilizofuata baada ya hapo zilitegemea tukio hilo. Namshukuru Mungu kwa kunipa watu wema walioshiriki...