Awali, sikudhamiria kuandika kitabu. Hili ni zao la makala zangu za uchambuzi wa kisiasa, hasa katika gazeti RAI tangu 1997, na baadaye katika safu ya Maswali Magumu, ambazo zilichapishwa katika magazeti ya Mwananchi Jumapili (2002-2004), Tanzania Daima (2004-2015), MwanaHALISI, Mseto, na Mawio (Juni 2016-Septemba 2017). Huu ni uchambuzi na...