Politics Religion TAKUKURU, JKT Mzinga lawamani kwa “kumdhulumu” Askofu Rweyongeza Author Ansbert NgurumoPosted on 16th February 202117th February 2021 VYOMBO vya dola vimemnyanyasa Askofu Almachius Rweyongeza wa Jimbo Katoliki la Kayanga, mkoani Kagera, kwa siku tatu mfululizo sasa kutokana na deni ambalo anadaiwa na Kampuni ya Ujenzi ya...