Main Media ITHIBATI NA PRESS CARD: PACHA AU PACHANGA? Author Ndimara TegambwagePosted on 17th September 202517th September 2025 TUSEMEZANE. Kitambulisho au Press Card anayobeba mwandishi wa habari, haina uwezo wa kumpa au kumwongezea elimu, maarifa wala stadi. Tuseme hivi: Hiki ni kitambulisho tu. Hakina hata uwezo wa...