Religion Waislamu Tanzania watoa waraka mzito kwa serikali Author Ansbert NgurumoPosted on 16th June 201818th June 2018 WAISLAMU nchini Tanzania wameandika na kusambaza waraka wa Idd wakiwaomba wananchi kutafakari mustakabali wa nchi katika kipindi hiki kigumu kinachosababishwa na serikali kutojali haki za raia na kuendekeza siasa...