Afya Politics Religion Msimamo wa Magufuli kuathiri Hija ya Waislamu wa Tanzania mwaka huu Author Shima KokuPosted on 3rd March 20215th March 2021 IWAPO serikali ya Tanzania itaendeleza propaganda zake dhidi ya chanjo ya Corona, kuna uwezekano mkubwa wa Waislamu wa Tanzania kukosa fursa ya kwenda Hija mwaka huu, SAUTI KUBWA imeelezwa....