Bungeni Mbowe azungumzia “bajeti hewa” ya serikali Author Ansbert NgurumoPosted on 16th June 201826th January 2022 FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema, ambaye pia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), amesema serikali imepeleka bungeni bajeti hewa. Mbali na kuzungumzia bajeti ya mwaka huu, Mbowe amechambua pia...