Sports Nyota ya kinda Kingazi wa Azam FC yaanza kuwakia Uingereza Author Goddy MethodPosted on 13th May 202113th May 2021 NYOTA ya mchezaji wa timu ya vijana chini ya miaka 20 (U—20) wa Azam FC, Shaban Kingazi, inaendelea kung’ara na huenda akaonekana akisakata kabumbu katika viwanja vya soka England...