Politics Kidata yupo wapi? Amejificha, amefichwa, au amepotea? Author Ansbert NgurumoPosted on 25th December 201827th December 2018 ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Canada, Alphayo Kidata, hajulikani aliko. Rais John Magufuli alitengua ubalozi wake, akamrejesha nyumbani, na akamvua hadhi ya ubalozi. Kidata alirejea Tanzania tarehe 1 Novemba...