World Nguvu ya umma yang’oa chama tawala kilichokaa madarakani miaka 60 Malaysia Author Ansbert NgurumoPosted on 10th May 201810th May 2018 NGUVU ya umma imeshinda hila na mabavu ya watawala nchini Malaysia, na kuangusha muungano wa chama tawala, National Front, ambacho kimetawala nchi hiyo kwa miaka 60 mfululizo tangu ilipopata...