Politics Watanzania wamlima barua ya wazi Mwanasheria Mkuu Kilangi dhidi ya “udikteta nyemelezi” Author Ansbert NgurumoPosted on 11th June 202011th June 2020 Ndugu Dk. Adelardus Kilangi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Tunakupa pole kwa majukumu na mazito yaliyo mbele yako. Tunatambua kuwa leo umewasilisha muswada bungeni utakaobadili kabida mfumo wetu wa kidemokrasia...