Politics Technology HUWEZI KUENDELEA KIUCHUMI NA KIFIKRA KWA KUIPINGA MITANDAO NA KUIPINGA GOOGLE Author Ansbert NgurumoPosted on 27th April 201827th April 2018 Ndugu zangu watanzania nawasilimu sana! Ikumbukwe kwamba mpaka hapa ulimwengu ulipofikia ni juhudi za mwanadamu kuhakikisha dunia inakuwa ndogo hata kwa kiwango cha kijiji. Dhumuni likiwa ni kurahisisha mawasiliano...