SERIKALI ya Kenya imeamuru watumishi wote wa umma nchini humo kuchanjwa kwa lazima dhidi ya COVID-19. Taarifa iliyosainiwa na Mkuu wa Utumishi wa Umma, Joseph Kinyua, iliyotolewa leo kwa umma, inaeleza kwamba wafanyakazi wote wa serikali sasa watalazimika kuwa wamechanjwa ifikapo Agosti 23. Wale ambao hawatachanjwa hadi tarehe iliyopangwa...
Politics
Justice
Politics
Mahabusu wasimulia mateso ya kunguni, uchafu wa haja ndogo na kunyimwa dawa wakiwa vituo vya polisi Dar
MAHABUSI za vituo vya Jeshi la Polisi nchini Tanzania zimegeuzwa “jehanamu” za polisi kutesea mahabusu kinyume cha sheria, imefahamika. Baadhi ya mahabusu walioshikiliwa katika mahabusi hizo wameeleza kuwa vituo...
JESHI la Polisi nchini Tanzania limeingia katika hatua mpya ya uonevu na udhalilishaji wa raia, baada ya akina mama waliokuwa wameshikiliwa na polisi kwa siku kadhaa kinyume cha sheria...
FREEMAN Mbowe, mwenyekiti wa Chadema ambaye yupo rumande katika gereza la Ukonga, Dar es Salaam, ametuma ujumbe wa maandishi kwa Watanzania na kuwapa ujumbe maalumu. Huu hapa chini: “Hali...
NDANI ya siku tatu, Jeshi la Polisi limekamata na kunyima dhamana wanachama wa Chadema zaidi ya 40 katika Jiji la Dar es Salaam, SAUTI KUBWA imeelezwa. Leo pekee, polisi...
Justice
People and Events
Politics
Kesi ya Mbowe yashindikana kusikilizwa kwa masafa. Polisi wadhulumu wafuasi wa Chadema mahakamani
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo limelazimika kutumia nguvu kutawanya wafuasi na mashabiki wa Chadema waliokuwa wamekusanyika nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kufuatilia...
Afya
People and Events
Politics
World
President Samia to get first jab of US-donated Corona vaccine to Tanzania
PRESDENT Samia Suluhu Hassan of Tanzania is expected to lead her nation in rolling out the administration of Johnson & Jonhson COVID-19 vaccine in the country formerly notorious for...
Justice
People and Events
Politics
Tanzania secretly charges opposition leader with terrorism to deny him bail
TANZANIA has kept engraving its name on the rock of torture, oppression and humiliation of its critics and opponents, this time by taking to court the leader of opposition...
HATIMAYE Serikali ya Tanzania, ikiongozwa na chama tawala, CCM, imetimiza malengo yake ya kutesa, kuonea na kudhalilisha wapinzani wake kwa kumfungulia mashtaka ya ugaidi Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe....
Justice
People and Events
Politics
Mbowe illegally held at Oysterbay Police Station. Lawyers speak up
AFTER four days of public speculations on the whereabouts of Tanzania’s Opposition Leader Freeman Mbowe, it has been revealed that he is held in custody at the Oysterbay Police...