LOVE is brewing. It is discernible. And you could almost stroke it as we approach Valentine’s Day. It is a day that is linked with sugar and spice and...
Politics
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 9 Februari 2022. Shahidi wa 13 wa upande wa mashtaka Mkaguzi wa Polisi Tumaini Swila anaendelea kuhojiwa na mawakili wa utetezi....
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 8 Februari 2022. Shahidi wa 13 wa upande wa mashtaka Mkaguzi wa Polisi Tumaini Swila ameendelea kuhojiwa na mawakili wa utetezi....
Jaji Tiganga ameshaingia mahakamani tayari kusikiliza kesi. Saa 4:01 asubuhi kesi namba 16 ya Mwaka 2021 ya Jamhuri dhidi ya Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling’wenya na Freeman Mbowe...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 4 Februari 2022. Wakili wa Serikali (Robert Kidando) Ikupendeze Mheshimiwa Jaji naitwa Robert Kidando na nipo pamoja na wakili Abdallah Chavula...
WANANCHI wa Gambia wameingiwa na hofu juu ya usalama wa maisha yao baada ya taarifa kusambaa kwamba maji ya chupa ya kunywa yanayodaiwa kutengenezwa Tanzania, yana sumu – na...
Justice
Politics
Kesi ya Mbowe: Luteni Urio ahitimisha ushahidi baada ya kibano cha Kibatala kwa siku nne
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo Februari 1, 2022 Jumla ya maswali yaliyoulizwa leo na Wakili Kibatala leo ni 161. Yaliyojibiwa na shahidi ni 157. Miongoni mwa hayo...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 31 Januari 2022. ……………………………………………………………………………………………. ……………………………………………………………………………………….. Katika maswali 401 yaliyoulizwa na Wakili Peter Kibatala, shahidi Luteni Dennis Urio amejibu maswali 360 tu....
WATOTO wadogo 21 wenye umri wa kati ya miaka mitatu (3) na 11, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Tanzania kwa kukutwa ndani ya nyumba moja jijini...
WAKILI NASHON: Wakati ule unampigia unamuuliza ‘upo tayari, kuna kazi ya ulinzi,’ wewe moyoni ulikuwa unajua kuwa Mbowe hahitaji walinzi bali ni vijana wa kuambatana naye? SHAHIDI: Ni sahihi....