TUME ta Taifa ya Uchaguzi imejiingiza katika kashfa, na umma wa Watanzania sasa unaiona kuwa inashabikia na kusaidia mgombea mmoja wa urais, badala kuwa mwamuzi na msimamzi wa haki kwa wagombea wote. Hatua hii inathibitishwa na kauli na vitendo vya tume yenyewe kwa kutaka kuadhibu chama na mgombea mmoja...
Election
KATIKA maeneo mbalimbali nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeingiwa na hofu ya kushindwa, na sasa kimebuni mbinu ya kujinusuru kwa kununua vitambulisho vya kupigia kura. Katika uchaguzi mkuu wa...
Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameahidi kuwa akishinda nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu, Serikali atakayoiongoza itafuta...