WATANZANIA wengi wamesikia malalamiko ya mgombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, akidai kuwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeongeza majina ya wapigakura hewa 117,000 ili kusaidia ushindi kwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Mwinyi. Pamoja na ukimya wa ZEC kuhusu tuhuma hizo,...
Author: Ansbert Ngurumo
THE National Electoral Commission (NEC) of Tanzania and the police force have been colluding to threaten opposition candidates with systemic violence in a bid to rig the general election...
SERIKALI ya Tanzania inatuhumiwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchapisha karatasi za kura za urais katika kiwanda cha uchapishani cha Tanzania Printing Services (TPS) ili kuiba...
Na Venance Stephen, Dar es Salaam MGOMBEA Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Bernard Membe, ameibuka na kutangaza mbele ya waandishi wa habari kwamba ataendelea kuwa mgombea, licha ya viongozi...
THE Centre for Strategic and International Studies partners with Africa Argument to discuss the elections in Tanzania and Ivory Coast in its latest IntoAfrica podcast. Our Editor-In-Chief took part...
TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia CHADEMA, jana Jumatano alilazimika kupanda mtumbwi wa wavuvi kutoka Kisorya hadi Ukerewe baada ya mamlaka kuzuia pantoni, kwa madai kuwa ni mbovu, ili ashindwe...
Hivi ndivyo teknolojia ilivyoingilia kati mara ya pili kuumbua NEC
Mungu ameiumbua Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Bonyeza usikilize.
FREEMAN Mbowe, the leader of opposition in Tanzania, said his party, CHADEMA, was determined to defeat all attempts of systemic rigging carried out by the National Election Commission (NEC)...