KURA yako ina nguvu. Ina thamani. Usipoitumia, basi nguvu yake na thamani yake vinakufa ukingali hai. Njia pekee ya kulinda kura yako, na kwa “wivu mkubwa,” ni kuitumia kufanya...
Tag: Ndimara Tegambwage
Viongozi na watawala walio safi, wema, wenye nia na matendo mema, hawawezi kuogopa kuhojiwa. Hawatumii nguvu za dola kutisha au kuumiza wanasiasa, wanahabari, wachambuzi, vyama vya kiraia, wasomi, na...