HAKUNA lugha yenye uwezo wa kueleza kilichotokea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2020. Waweza kusema “haramu,” “unajisi wa demokrasia”, “ubakaji uliokithiri,” “uhaini dhidi ya mamlaka ya wananchi,” au ” uchaguzi ambao haukufanyika.” Haya yote yamefanywa na binadamu wenzetu “walioapa” kutenda haki na wanaojinadi kwa kusema kuwa msema kweli ni...