People and Events Politics NDUGAI AMENG’OLEWA NA “WATU WASIOJULIKANA” Author Ansbert NgurumoPosted on 7th January 20227th January 2022 BAADA ya yote yaliyotokea, napenda kusema kuwa Job Ndugai, aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano tangu mwaka 2015 hadi tarehe 6 Januari 2022, amefukuzwa kihuni. Hajajiuzulu. Vielelezo...