Main Religion World PAPA FRANCIS AFARIKI DUNIA: UTARATIBU WA KUPATA MRITHI WAKE Author Ansbert NgurumoPosted on 21st April 202521st April 2025 KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani PAPA Francis ameaga dunia leo katika Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88. Kwa mujibu wa Vatican, Papa amefariki asubuhi ya saa...