Politics “Musiba ni wakala wa Magufuli, Kipilimba” Author Ansbert NgurumoPosted on 15th July 201915th July 2019 BAADA ya makatibu wakuu wa CCM wastaafu Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana kutoa tamko kali jana dhidi ya “wakala” wa Rais John Magufuli anayetumika kusakama watu kwa kutumia vyombo...