World Tanzania kufungua ubalozi Israel kwa mara ya kwanza Author Ansbert NgurumoPosted on 2nd May 20182nd May 2018 TANZANIA na Israel, ambazo zimekuwa na uhusiano wa shaka tangu 1973, sasa zinajenga uhusiano mpya kwa kuanzisha ushirikiano wa kidiplomasia kwa vitendo. Kuazia wiki ijayo, Tanzania inatarajiwa kufungua ubalozi...