Politics Katika usiri wa madini, Magufuli hana tofauti na Mkapa wala Kikwete Author Ansbert NgurumoPosted on 3rd June 20184th June 2018 TUNDU Lissu, mbunge wa Singida Mashariki ambaye anaendelea na matibabu katika University Hospital Leuven, Ubelgiji, anasema kuwa licha ya mbwembwe za Rais John Magufuli kuhusu “mabadiliko” anayodai kufanya katika...