Justice People and Events Politics Mauaji ya raia mikononi mwa Polisi wa Magufuli yazidi kuibuliwa Author Athuman KilayePosted on 9th July 202110th July 2021 UTATA mkubwa umegubika kifo cha mkazi wa Jiji la Dodoma, Josephat Hans, ambaye anadaiwa kutoweka – kwa miaka miwili sasa – akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi ambalo lilimkamata...