Main Politics KURA YAKO INA THAMANI Author Ndimara TegambwagePosted on 9th June 202511th August 2025 KURA yako ina nguvu. Ina thamani. Usipoitumia, basi nguvu yake na thamani yake vinakufa ukingali hai. Njia pekee ya kulinda kura yako, na kwa “wivu mkubwa,” ni kuitumia kufanya...