KISWAHILI kinazidi kukua, kuenea, na kutambulika duniani. Mbali na vyuo vikuu zaidi ya 100 vyenye programu za Kiswahili, na makumi ya vituo vya redio vyenye matangazo kwa lugha ya Kiswahili sehemu mbalimbali duniani, hata mtandao wa kijamii Twitter nao sasa umetambua rasmi lugha hiyo. Awali, Twitter haikuweza kutofautisha maneno...