KATIKA maeneo mbalimbali nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeingiwa na hofu ya kushindwa, na sasa kimebuni mbinu ya kujinusuru kwa kununua vitambulisho vya kupigia kura. Katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, baadhi ya majimbo yamethibitika kuwa magumu kwa chama tawala. Wimbi la upinzani, hasa kutoka...