Entertainment & Arts
Sports
Ronaldo atamba kuwa na furaha isiyo kifani kwa kumwachisha kaka ulevi, mihadarati
CRISTIANO Ronaldo, mmoja wa mabingwa wa mataji makubwa ya soka duniani, hivi sasa anatamba kwamba yu miongoni mwa wanadamu wenye furaha zaidi. Furaha ya Ronaldo haitokani na mafanikio yake...