UTAMBULISHO SAFU ya Maswali Magumu iliyowahi kuchapishwa na magazeti ya Mwananchi Jumapili, Tanzania Daima Jumapili na MwanaHALISI kati ya mwaka 2002 na 2017 imezaa kitabu. Kimeandikwa kwa Kiswahili, na kinatafsiriwa kwa Kiingereza. Ndani ya siku 100 zijazo, kwenye tovuti hii, tunakuletea mtiririko wa kitabu hicho, sehemu kwa sehemu, kukutafakarisha baadhi...