Mashirika 65 ya kimataifa yamlima barua Magufuli

MASHIRIKA 65 ya kiraia yanayotetea haki za binadamu katika nchi mbalimbali yametoa tamko zito kumtaka Rais John Mafuguli akomeshe ukatili wa serikali yake dhidi ya waandishi wa habari, vyombo vya habari, wapinzani na raia wengine wanaomkosoa.

Katika tamko hilo, ambalo limetoka kwa mfumo wa waraka,  mashirika hayo yametaja baadhi ya matukio mabaya yanayotokea nchini, hasa watu kuuawa, kuteswa, kutekwa na kuumizwa, kama mifano hai ya kupotoka kwa serikali katika utawala wa Magufuli.

Matukio mengine ni kufungiwa kwa vyombo vya habari kadhaa ambavyo vimekuwa vinakosoa serikali. Mashirika hayo pia yamekerwa na tabia ya serikali kutumia sheria dhalimu na vyombo vya dola kama njia ya kutisha na kukomoa wananchi wenye mawazo mbadala.

Kwa taarifa zaidi, soma hapa: 

 

Like
1 Comment
  1. makaveli 6 years ago
    Reply

    Where was the international community when he pulled out of the OPEN GOVERMENT PARTNERSHIP agreement ? Letters and statements alone will not deliver any positive changes . Decisive action is necessary. Stop funding a dictator.

    0

    0

Leave a Comment

Your email address will not be published.