HUYU (pichani) ndiye Isack Bwire, ofisa usalama ambaye alipigwa risasi katika jaribio la kumvamia na kumteka Peter Zacharia, mfanyabiashara maarufu wa Tarime mkoani Mara. Amepelekwa Afrika Kusini kwa ajili ya...
Author: Ansbert Ngurumo
SAUTI KUBWA inakuletea habari za uhakika ikitaja majina ya baadhi ya askari waliotumwa kuteka, kutesa na kuua baadhi ya raia, viongozi wa upinzani, na wakosoaji wa Rais John Magufuli;...
TANGU aingie madarakani, Rais John Magufuli amefanya teuzi nyingi kana kwamba anaunda mfumo wa taifa jipya lililopata uhuru mwaka juzi. Katika kufanya hivyo, mambo matatu yamejionyesha wazi. Kwanza, ni...
DESPITE starting well and leading with an early goal in the first half, England finished with disappointment losing 1-2 against Croatia in a semifinal match they should have won....
Merlin Komba, msajili wa vyama wa wizara ya mambo ya ndani, alikuwa anapigwa kama mpira huku na huku. Ikulu ilimwagiza kazi, akaifanya, ikaleta msukosuko kwa umma. Mwigulu Nchemba akiwa waziri...
Politics
Tanzania government faults research institution for low approval ratings of Pesident Magufuli
The government of Tanzania is threatening an organization that released research findings of the president’s popularity fast dropping. TWAWEZA, a non-governmental organization that has been doing the same task...
Barack Obama is in Tanzania on a private tour with his family. MTANZANIA newspaper, in its Wednesday edition, is the only mainstream local paper that ran a story on...
PAMOJA na sababu nyingine zilizomfukuzisha Mwigulu Nchemba uwaziri wa mambo ya ndani, kubwa inayosemekana kumkasirisha zaidi Rais John Magufuli ni barua ya waziri kutengua zuio la idara ya uhamiaji...
GARETH Southgate, kocha wa England, amejizolea sifa kemkem kwa kuwezesha timu yake kuingia nusu fainali baada ya miaka 28 ya kusuasua. England imeingia nusu fainali kwa kishindo baada ya...
TANZANIA’s populist president and self-proclaimed “man of the people,” John Magufuli, is fast losing popularity. His presidential approval ratings have dropped to the lowest level in the country’s history....